Matthew 25:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtumishi aliyepewa talanta mbili alifanya vivyo hivyo. Mtumishi huyo alizifanyia biashara talanta mbili alizopewa na zikazaa talanta mbili zingine.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule aliyepewa talanta mbili akafanya vivyo hivyo, akapata nyingine mbili zaidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vile vile na yule aliyepokea elfu mbili, naye akachuma nazo nyingine elfu mbili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Vile vile na yule mwenye mbili, yeye naye akachuma nyingine mbili faida.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na yule aliyepata furushi mbili akafaidia zingine mbili.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Vilevile na yule mwenye mbili, yeye nae akachuma nyingine mbili faida.