Matthew 25:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini yule aliyekabidhiwa fedha talanta moja akaenda, akachimba shimo ardhini, akaificha fedha ya bwana wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini yule mtumishi aliyekuwa amepokea talanta moja, alienda akachimba shimo ardhini na kuificha ile talanta ya bwana wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini yule aliyepokea moja alikwenda akafukua chini, akaificha fedha ya bwana wake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini mtumishi aliyekabidhiwa talanta moja, alikwenda akachimba shimo kisha akaifukia talanta moja aliyopewa na bwana wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini yule aliyekabidhiwa talanta moja akaenda akachimba shimo ardhini, akaificha fedha ya bwana wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini yule aliyekabidhiwa fedha talanta moja akaenda, akachimba shimo ardhini, akaificha fedha ya bwana wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini yule mtumishi aliyekuwa amepokea talanta moja, alikwenda akachimba shimo ardhini na kuificha ile fedha ya bwana wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini yule mtumishi aliyekuwa amepokea talanta moja, alikwenda akachimba shimo ardhini na kuificha ile fedha ya bwana wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini yule aliyepokea moja alikwenda akafukua chini, akaificha fedha ya bwana wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini yule aliyekabidhiwa fedha talanta moja akaenda, akachimba shimo ardhini, akaificha fedha ya bwana wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yule aliyepokea elfu moja akaenda, akachimba shimo, akazifukia mle fedha za bwana wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini yule aliyepokea moja alikwenda akafukua chini, akaificha fedha ya bwana wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule aliyepewa furushi moja, akachimba shimo katika udongo na kuficha ile mali ya bwana wake mule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali yule aliyepokea moja, alikwenda akafukua chini, akaiticha fedha ya bwana wake.