Matthew 25:19 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baada ya siku nyingi akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya muda mrefu kupita bwana wao alirudi. Aliwauliza watumishi wake walizifanyia nini talanta alizowaachia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Baada ya muda mrefu yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baada ya siku nyingi akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilipopita nyingi, akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baada ya siku nyingi akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kulipopita siku nyingi, bwana wa watumishi wale akarudi, akafanya hesabu ya mali yake pamoja nao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baada ya siku nyingi yuaja bwana wa watumishi wale, akafanya hesabu nao.