Matthew 25:3 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wale waliokuwa wapumbavu walizitwaa taa zao, wasitwae na mafuta pamoja nao;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wanawali wajinga walichukua taa zao bila ya kubeba mafuta ya ziada kwa ajili ya taa zao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wapumbavu walichukua taa zao lakini hawakuchukua mafuta ya akiba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale waliokuwa wapumbavu walizitwaa taa zao, wasitwae na mafuta pamoja nao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wale wajinga walizishika taa zao tu, wasichukue na mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale waliokuwa wapumbavu walizitwaa taa zao, wasitwae na mafuta pamoja nao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wajinga walitwaa taa zao tu, lakini hawakupeleka mafuta ya kutia ndani yao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wale waliokuwa wapumbavu walizitwaa taa zao, wasitwae na mafuta pamoja nao: