Matthew 25:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atawaweka kondoo upande wake wa kuume, na mbuzi upande wake wa kushoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Atawaweka kondoo upande wake wa kuume na mbuzi upande wa kushoto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atawaweka kondoo upande wake wa kuume na mbuzi upande wake wa kushoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atawaweka kondoo upande wake wa kuume, na mbuzi upande wake wa kushoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
atawaweka kondoo katika mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atawaweka kondoo upande wake wa kulia na mbuzi upande wake wa kushoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atawaweka kondoo kuumeni kwake, nao mbuzi kushotoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ataweka kondoo kwa upande wake wa kuume, na mbuzi kwa upande wake wa kushoto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
atawaweka kondoo mkono wake wa kuume, na mbuzi mkono wake wa kushoto.