Matthew 25:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lini tulikuona ukiwa mgeni tukakukaribisha, au ukiwa uchi tukakuvisha nguo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena ni lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lini tulikuona huna mahali pa kukaa tukakukaribisha katika nyumba zetu? Lini tulikuona huna nguo za kuvaa na tukakuvisha?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lini tulikuona ukiwa mgeni tukakukaribisha au ukiwa uchi tukakuvika?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lini tulikuona ukiwa mgeni tukakukaribisha, au ukiwa uchi tukakuvika?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena ni lini tulipokuona ukiwa mgeni, tukakukaribisha, au ukiwa uchi, tukakuvika?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena ni lini, tulipokuona mgeni, tukakupokea? Au tulipokuona uchi, tukakuvika?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena ni lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni wakati gani tulipokuona uko mugeni, tukakukaribisha, ulipokuwa uchi, tukakupatia nguo?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lini tulipokuona u mgeni, tukakukaribisha, au u uchi, tukakuvika?