Matthew 25:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza, au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lini tulikuona unaumwa au uko gerezani tukaja kukuona?’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa tukakutunza, au ukiwa kifungoni tukakutembelea?’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni lini tena tulipokuona ukiwa mgonjwa, au ukiwa kifungoni, tukakujia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni lini tena, tulipokuona mgonjwa au kifungoni, tukakujia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni lini tena tulipokuona u mgonjwa, au kifungoni, tukakujia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ni wakati gani tulipokuona uko mugonjwa au uko katika kifungo tukakuja kukuangalia?’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lini tulipokuona u mgonjwa, an kifungoni, tukakujia?