Matthew 25:42 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana nilikuwa na njaa nanyi hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana nilikuwa na njaa nanyi hamkunipa chakula, nilikuwa na kiu nanyi hamkuninywesha,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ondokeni kwa sababu nilipokuwa na njaa, hamkunipa chakula nile. Nilipokuwa na kiu, hamkunipa maji ya kunywa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Maana nilikuwa na njaa nanyi hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana nilikuwa na njaa nanyi hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana nilikuwa na njaa hamkunipa chakula, nilikuwa na kiu hamkuninywesha,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana nilikuwa na njaa hamkunipa chakula, nilikuwa na kiu hamkuninywesha,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa maana nilikuwa na njaa, msinipe chakula; nilikuwa na kiu, msininyweshe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana nilikuwa na njaa nanyi hamkunipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi hamkunipa maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nilipokuwa na njaa, hamkunipa chakula; nilipokuwa na kiu, hamkuninywesha;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana nilisikia njaa, nanyi hamukunipa chakula; nilisikia kiu, nanyi hamukunipa maji;
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe;