Matthew 25:43 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha; nilikuwa mgonjwa na mfungwa nanyi hamkuja kunitazama.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha, nilikuwa uchi nanyi hamkunivisha nguo, nilikuwa mgonjwa nanyi hamkunitunza, na nilikuwa gerezani nanyi hamkuja kunitembelea.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike; nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Nilipokosa mahali pa kukaa, hamkunikaribisha katika nyumba zenu. Nilipokosa nguo za kuvaa, hamkunipa nguo za kuvaa. Nilipokuwa mgonjwa au mfungwa gerezani hamkunijali.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha; nilikuwa mgonjwa na mfungwa nanyi hamkuja kunitazama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha; nilikuwa mgonjwa na mfungwa nanyi hamkuja kunitazama.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha, nilikuwa uchi hamkunivika, nilikuwa mgonjwa hamkunitunza na nilikuwa gerezani nanyi hamkuja kunitembelea.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha, nilikuwa uchi hamkunivika, nilikuwa mgonjwa hamkunitunza, na nilikuwa gerezani nanyi hamkuja kunitembelea.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nilikuwa mgeni, msinikaribishe; nilikuwa uchi, msinivike; nilikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nilikuwa mgeni nanyi hamkunikaribisha; nilikuwa mgonjwa na mfungwa nanyi hamkuja kunitazama.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nilipokuwa mgeni, hamkunipokea; nilipokuwa uchi, hamkunivika; nilipokuwa mgonjwa na kifungoni, hamkuja kunikagua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike; nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nilikuwa mugeni, nanyi hamukunikaribisha; nilikuwa uchi, nanyi hamukunipatia nguo; nilikuwa mugonjwa na nilikuwa katika kifungo, nanyi hamukukuja kuniangalia.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike: nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama.