Matthew 25:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kuwa bwana arusi alikawia kuja, wale wasichana wote walisinzia, wakalala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana arusi alipokawia kuja wale wanawali wote wakasinzia na kulala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata bwana arusi alipokawia, wote wakasinzia wakalala usingizi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Bwana arusi alipochelewa sana, walichoka na wote wakasinzia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa kuwa bwana arusi alikawia kuja, wale wanawali wote wote walisinzia, wakalala.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kuwa bwana arusi alikawia kuja, wale wasichana wote walisinzia, wakalala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana arusi alipokawia kuja wale wanawali wote wakasinzia na kulala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana arusi alipokawia kuja wale wanawali wote wakasinzia na kulala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata bwana harusi alipokawia, wote wakasinzia wakalala usingizi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kuwa bwana arusi alikawia kuja, wale wasichana wote walisinzia, wakalala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana arusi alipokawia, wakasinzia wote, wakalala usingizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata bwana arusi alipokawia, wote wakasinzia wakalala usingizi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kwa kuona bwana-arusi alikawia kufika, wote wakasinzia na kulala usingizi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta bwana arusi alipokawia, wote wakasinzia wakalala.