Matthew 25:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara wakaondoka wanawali wale wote, wakazitengeneza taa zao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wasichana wote waliamka. Wakatayarisha taa zao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo wale wanawali wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara wakaondoka wanawali wale wote, wakazitengeneza taa zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wanawali wale wote walipoinuka, wakazitengeneza taa zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara wakaondoka wanawali wale wote, wakazitengeneza taa zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wale wabinti kumi wakaamuka, wakatengeneza taa zao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra wakaondoka wanawali wale wote, wakazitengeneza taa zao.