Matthew 25:8 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara: ‘Tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, ‘Tupatieni mafuta yenu kidogo; taa zetu zinazimika.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wale wapumbavu wakawaambia wenye busara, Tupeni mafuta yenu kidogo; maana taa zetu zinazimika.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wanawali wajinga wakawaambia wanawali wenye hekima, ‘Tupeni mafuta kiasi kwa sababu mafuta katika taa zetu yamekwisha.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara: Tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara: ‘Tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, ‘Tupatieni mafuta yenu kidogo, taa zetu zinazimika.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, ‘Tupatieni mafuta yenu kidogo; taa zetu zinazimika.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, Tupeni mafuta yenu kidogo; maana taa zetu zinazimika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara: ‘Tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wajinga wakawaambia wenzao werevu: Tugawieni mafuta yenu! kwani taa zetu zinazimika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale wapumbavu wakawaambia wenye busara, Tupeni mafuta yenu kidogo; maana taa zetu zinazimika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wajinga wakawaambia wenye akili: ‘Mutusaidie na mafuta kidogo, kwa sababu taa zetu zinaanza kuzimika.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wale wapumbavu wakawaambia wenye busara, Tupeni mafuta yenu kidogo; maana taa zetu zinazimika.