Matthew 26:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipomiminia haya manukato kwenye mwili wangu, amefanya hivyo ili kuniandaa kwa ajili ya maziko yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kwa kunimwagia mwili wangu marhamu hiyo, ametenda hivyo ili kuniweka tayari kwa maziko yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwanamke huyu amenimwagia manukato. Amefanya hivi kuniandaa kwa ajili ya mazishi baada ya kufa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipomiminia haya manukato kwenye mwili amefanya hivyo ili kuniandaa kwa ajili ya maziko yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipomiminia haya manukato kwenye mwili wangu, amefanya hivyo ili kuniandaa kwa ajili ya maziko yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwa kunimwagia mwili wangu marhamu hiyo, ametenda hivyo ili kuniweka tayari kwa maziko yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani alipoyamimina mafuta haya, aupake mwili wangu, ameutengenezea kuzikwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kwa kunimwagia mwili wangu marhamu hiyo, ametenda hivyo ili kuniweka tayari kwa maziko yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanamuke huyu amemimia marasi hii juu ya mwili wangu kwa kuutayarisha kwa ajili ya maziko.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana kwa kunimwagia mwili wangu marhamu hii, ametenda hivi illi kuniweka tayari kwa maziko yangu.