Matthew 26:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wanafunzi wakafanya vile Isa alivyokuwa amewaelekeza, nao wakaandaa Pasaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa Pasaka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walitii na kufanya kama Yesu alivyowaambia. Waliandaa mlo wa Pasaka.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wanafunzi wakafanya kama vile Yesu, alivyokuwa amewaelekeza, nao wakaandaa Pasaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wanafunzi wakafanya kama vile Isa alivyokuwa amewaelekeza, nao wakaandaa Pasaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa Pasaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanafunzi wakafanya, kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa kondoo ya Pasaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa Pasaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wanafunzi wakafanya sawa Yesu alivyowaagiza, wakatayarisha karamu ya Pasaka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wanafunzi wakatenda kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa pasaka.