Matthew 26:23 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akajibu, “Anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawaambia, “Yule aliyechovya mkono wake katika bakuli pamoja nami ndiye atakayenisaliti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajibu akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika kombe, ndiye atakayenisaliti.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akajibu, “Yeye aliyechovya mkate wake katika kikombe kile kile nilichochovya mimi ndiye atakayenisaliti.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akajibu, “Atakayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akajibu, “Anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawaambia, “Yule aliyechovya mkono wake katika bakuli pamoja nami, ndiye atakayenisaliti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawaambia, “Yule aliyechovya mkono wake katika bakuli pamoja nami ndiye atakayenisaliti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajibu akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika bakuli, ndiye atakayenisaliti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akajibu, “Anayechovya mkate pamoja nami katika bakuli ndiye atakayenisaliti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akajibu akisema: Aliyetowelea pamoja nami bakulini ndiye atakayenichongea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajibu akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika kombe, ndiye atakayenisaliti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akajibu: “Yule aliyechovya mukate pamoja nami ndani ya sahani ndiye atanitoa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akajibu, akasema, Yeye aliyetia mkono wake pamoja nami katika sahani, ndiye atakaenisaliti.