Matthew 26:30 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda mlima wa Mizeituni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Waliimba wimbo kwa pamoja kisha wakaenda kwenye Mlima wa Mizeituni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka kwenda mlima wa Mizeituni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokwisha kuimba wimbo, wakatoka wakaenda Mlima wa Mizeituni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda katika mlima wa Mizeituni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kuimba wimbo, wakaondoka, wakaenda katika mlima wa Mizeituni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kuimba wakatoka kwenda mlimani pa michekele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda mlima wa Mizeituni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walipokwisha kuimba, wakaondoka kwenda kwa mulima wa Mizeituni.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walipokwisha kuimba, wakatoka nje kwenda mlima wa Mizeituni.