Matthew 26:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Petro akamwambia, “Hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Wale wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Petro akasisitiza, “Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Nao wanafunzi wale wengine wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Petro akamwambia, Ijaponipasa kufa nawe, sitakukana kamwe. Na wanafunzi wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Petro akajibu, “Sitasema kwamba sikufahamu! Mimi hata nitakufa pamoja nawe!” Na wafuasi wengine wote wakasema kitu hicho hicho.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Petro akamwambia, “Hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Wale wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Petro akamwambia, “Hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Wale wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Petro akasema, “Hata kama itabidi kufa pamoja na wewe, kamwe sitakukana.” Nao wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Petro akasisitiza, “Hata kama itabidi kufa pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Nao wanafunzi wale wengine wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Petro akamwambia, Ijaponipasa kufa nawe, sitakukana kamwe. Na wanafunzi wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Petro akamwambia, “Hata kama ni lazima nife pamoja nawe, sitakukana kamwe.” Wale wanafunzi wengine wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Petero akamwambia: Hata ijaponipasa kufa pamoja nawe, sitakukana kabisa. Nao wanafunzi wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Petro akamwambia, Ijaponipasa kufa nawe, sitakukana kamwe. Na wanafunzi wote wakasema vivyo hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Petro akamwambia: “Hata ikinipasa kufa pamoja nawe, sitakukana hata kidogo.” Na wanafunzi wote wengine wakasema sawasawa naye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro akamwambia, Ijaponipasa kufa nawe, sitakukana. Na wanafuuzi wote wakasema vivi hivi.