Matthew 26:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawachukua Petro na wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuwa na huzuni na mahangaiko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamchukua Petro pamoja na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kufadhaika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamchukua Petro na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kusononeka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alimwambia Petro na wana wawili wa Zebedayo waende pamoja naye. Kisha akaanza kuhuzunika na kuhangaika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akawachukua Petro na wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuwa na huzuni na mahangaiko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawachukua Petro na wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuwa na huzuni na mahangaiko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamchukua Petro pamoja na wale wana wawili wa Zebedayo, naye akaanza kuhuzunika na kufadhaika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamchukua Petro pamoja na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kufadhaika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamchukua Petro na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kusononeka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawachukua Petro na wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuwa na huzuni na mahangaiko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamchukua Petero na wale wana wawili na Zebedeo, akaanza kusikitika na kuhangaika,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamchukua Petro na wale wana wawili wa Zebedayo, akaanza kuhuzunika na kusononeka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na akatwaa Petro na wana wawili wa Zebedayo na kwenda nao. Akaanza kuhuzunika na kuhangaika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamchukua Petro na wana wawili wa Zebedayo, akaanza kufadhaika, na kuhuzunika moyo.