Matthew 26:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakapanga kumkamata Isa kwa siri na kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakafanya shauri pamoja, ili wamkamate Yesu kwa hila na kumwua.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Katika mkutano huo walitafuta njia ya kumkamata na kumwua Yesu kwa siri pasipo mtu yeyote kujua.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakafanya shauri ili kumkamata Yesu kwa siri na kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakafanya shauri ili kumkamata Isa kwa siri na kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakafanya shauri pamoja, ili wamkamate Yesu kwa hila na kumwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakashauriana jinsi ya kumtia Yesu nguvuni kwa hila wamuue.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakala njama ya kumkamata Yesu kwa werevu wapate kumwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakafanya shauri pamoja, ili wamkamate Yesu kwa hila na kumwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nao wakafanya shauri la kumukamata Yesu kwa werevu na kumwua.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakafanya shauri pamoja, illi wamkamate Yesu kwa hila na kumwua.