Matthew 26:40 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndio kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamuuliza Petro, “Je, ninyi hamkuweza kukesha pamoja nami hata kwa saa moja?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! Hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha akarudi walipokuwa wafuasi wake na akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Je hamkuwa na uwezo wa kukesha pamoja nami hata kwa saa moja?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndiyo kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndio kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akarudi kwa wanafunzi wake na kuwakuta wamelala. Akamwuliza Petro, “Je, ninyi wanaume, hamkuweza kukesha pamoja nami kwa saa moja?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akarudi kwa wanafunzi wake, akawakuta wamelala. Akamuuliza Petro, “Je, ninyi hamkuweza kukesha pamoja nami hata kwa saa moja?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! Hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala. Akamwambia Petro, “Ndio kusema hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipowajia wanafunzi, akawakuta, wamelala usingizi, akamwambia Petero: Hamkuweza kukesha pamoja nami saa moja tu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! Hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akarudi pahali pale alipowaacha wale wanafunzi, akawakuta wamelala usingizi. Akamwambia Petro: “Hamukuweza kukesha pamoja nami hata kwa saa moja tu?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kisha akawaendea wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! hamkuweza kukesha pamoja nami hatta saa moja?