Matthew 26:46 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amkeni; twendeni zetu. Tazameni! Anakuja yule atakayenisaliti.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondokeni, twende zetuni! Tazama, yule anayenisaliti amekaribia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Simameni! Tuondoke. Tazama yeye atakayenikabidhi anakuja.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Amkeni, twendeni zetu. Tazameni! Anakuja yule atakayenisaliti.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amkeni; twendeni zetu. Tazameni! Anakuja yule atakayenisaliti.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inukeni, twendeni zetu! Huyu hapa yule anisalitiye!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondokeni, twende zetu! Tazama, yule anayenisaliti amekaribia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amkeni; twendeni zetu. Tazameni! Anakuja yule atakayenisaliti.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inukeni, twende! Tazameni, mwenye kunichongea yuko karibu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondokeni, twende zetuni! Tazama, yule anayenisaliti amekaribia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musimame, tuende! Angalia, yule anayenitoa amefika karibu!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ondokeni, twende zetu. Angalieni, anaenisaliti anakaribia.