Matthew 26:57 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, hao watu waliomkamata Yesu walimpeleka nyumbani kwa Kayafa, kuhani mkuu, walikokusanyika waalimu wa sheria na wazee.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale waliomkamata Isa wakampeleka kwa Kayafa, kuhani mkuu, mahali ambapo walimu wa Torati pamoja na wazee walikuwa wamekusanyika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, walikokuwa wamekutanika waandishi na wazee.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wale waliomkamata Yesu wakampeleka nyumbani kwa Kayafa, kuhani mkuu. Walimu wa Sheria na viongozi wazee wa Kiyahudi walikuwa wamekusanyika huko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, hao watu waliomkamata Yesu walimpeleka nyumbani kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, walikokusanyika walimu wa Sheria na wazee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, hao watu waliomkamata Yesu walimpeleka nyumbani kwa Kayafa, kuhani mkuu, walikokusanyika waalimu wa sheria na wazee.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waliokuwa wamemkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, mahali ambapo walimu wa sheria pamoja na wazee walikuwa wamekusanyika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waliokuwa wamemkamata Isa wakampeleka kwa Kayafa, kuhani mkuu, mahali ambapo walimu wa Torati pamoja na wazee walikuwa wamekusanyika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, walikokuwa wamekutanika waandishi na wazee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, hao watu waliomkamata Yesu walimpeleka nyumbani kwa Kayafa, kuhani mkuu, walikokusanyika waalimu wa sheria na wazee.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wale waliomkamata Yesu wakampeleka kwa mtambikaji mkuu Kayafa; ndiko, walikokusanyika waandishi na wazee.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, walikokuwa wamekutanika waandishi na wazee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale waliomukamata Yesu wakamupeleka kwa Kuhani Mukubwa Kayafa, pahali walimu wa Sheria na wasimamizi wa watu walipokuwa wamekusanyika.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa kuhani mkuu, walipokuwapo waandishi na wazee wamekusanyika.