Matthew 26:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yesu alipokuwapo Bethania katika nyumba ya Simoni mkoma,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alipokuwa Bethania katika nyumba ya Simoni aliyekuwa na ugonjwa mbaya sana wa ngozi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Yesu akiwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yesu alipokuwapo Bethania katika nyumba ya Simoni mwenye ukoma,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu alipokuwa Betania nyumbani mwa Simoni Mkoma,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yesu alipokuwapo Bethania katika nyumba ya Simoni mkoma,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipokuwa Betania katika nyumba ya mutu aliyeitwa Simoni Mukoma,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae Yesu, alipokuwa Bethania katika nyumba ya Simon mwenye ukoma,