Matthew 26:60 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini hawakupata ushahidi wowote, ingawa walikuja mashahidi wengi wa uongo. Mwishowe wakaja mashahidi wawili,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hawakupata jambo lolote, ingawa mashahidi wengi wa uongo walijitokeza. Hatimaye wakajitokeza mashahidi wawili wa uongo
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wasiuone wangawa walitokea mashahidi wa uongo wengi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wengi walikuja na akasema uongo kuhusu Yesu. Lakini baraza lilishindwa kupata ushahidi wa kuutumia ili kumwua. Ndipo watu wawili walikuja
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
lakini hawakupata ushahidi wowote, ingawa walikuja mashahidi wengi wa uongo. Mwishowe wakaja mashahidi wawili,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini hawakupata ushahidi wowote, ingawa walikuja mashahidi wengi wa uongo. Mwishowe wakaja mashahidi wawili,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hawakupata jambo lo lote, ingawa mashahidi wengi wa uongo walijitokeza. Hatimaye wakajitokeza mashahidi wawili wa uongo
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hawakupata jambo lolote, ingawa mashahidi wengi wa uongo walijitokeza. Hatimaye wakajitokeza mashahidi wawili wa uongo
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wasiuone ingawa walitokea mashahidi wa uongo wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini hawakupata ushahidi wowote, ingawa walikuja mashahidi wengi wa uongo. Mwishowe wakaja mashahidi wawili,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawakuupata, ingawa walikuja mashahidi wa uwongo wengi, lakini hawakumshinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wasiuone wangawa walitokea mashahidi wa uongo wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hawakupata neno, ijapokuwa watu wengi walikuja kumusingizia maneno ya uongo. Mwisho watu wawili wakafika
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wasipate; na ijapokuwa walitokea mashahidi wa uwongo wengi, hawakupata.