Matthew 26:62 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani mkuu akasimama, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha kuhani mkuu akasimama na kumwambia Isa, “Je, wewe hutajibu? Ni ushahidi gani hawa watu wanauleta dhidi yako?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha kuhani mkuu alisimama na kumwambia Yesu, “Huna neno lolote la kujitetea dhidi ya mashtaka haya juu yako? Wanasema kweli?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kuhani Mkuu akasimama, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani mkuu akasimama, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Kuhani Mkuu akasimama na kumwambia Yesu, “Je, wewe hutajibu? Ni ushahidi wa namna gani hawa watu wauletao dhidi yako?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha kuhani mkuu akasimama na kumwambia Isa, “Je, wewe hutajibu? Ni ushahidi gani hawa watu wanauleta dhidi yako?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani mkuu akasimama, akamwuliza Yesu, “Je, hujibu neno? Watu hawa wanashuhudia nini dhidi yako?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtambikaji mkuu alipoinuka, akamwambia: Hujibu neno, hawa wanayokusimangia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Kuhani Mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudia nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani Mukubwa akasimama na kumwuliza Yesu: “Haujibu hata neno? Watu hawa wanakushitakia nini?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kuhani mkuu akasimama akamwambia, Hujibu neno? Hawa wanakushuhudiani?