Matthew 26:66 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mwaonaje ninyi? Wakajibu, wakasema, Imempasa kuuawa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mnasemaje?” Viongozi wa Kiyahudi wakajibu, “Ana hatia, na ni lazima afe.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uamuzi wenu ni nini?” Wakajibu, “Anastahili kufa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mwaonaje ninyi? Wakajibu, wakasema, Imempasa kuuawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwaonaje? Nao wakajibu, wakasema: Amepaswa na kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mwaonaje ninyi? Wakajibu, wakasema, Imempasa kuuawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munawaza nini?” Nao wakajibu: “Anastahili kufa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mwaonaje? Wakajibu, wakasema, Ana sharti ya kufa.