Matthew 27:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Mwenyezi Mungu alivyoniagiza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakavitumia kwa kununua konde la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walizitumia sarafu hizo thelathini za fedha kununulia shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniamuru.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana alivyoniagiza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana Mwenyezi Mungu alivyoniagiza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakavitumia kwa kununua shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakazitoa kununua shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniambia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakavitumia kwa kununua konde la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakazitumia kwa kununua shamba la Mufinyanzi, sawa vile Bwana alivyoniamuru.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakavitumia kwa kununua konde la mfinyangi, kama Bwana alivyoniagiza.