Matthew 27:15 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ilikuwa kawaida wakati wa sikukuu ya Pasaka mkuu wa mkoa kuwafungulia Wayahudi mfungwa mmoja waliyemtaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi ilikuwa ni desturi ya mtawala kumfungua mfungwa mmoja aliyechaguliwa na umati wa watu wakati wa sikukuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakati wa siku kuu, liwali desturi yake huwafungulia mkutano mfungwa mmoja waliyemtaka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila mwaka wakati wa Pasaka, gavana angemwachia huru mfungwa mmoja yeyote ambaye watu wangetaka aachiwe huru.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ilikuwa kawaida wakati wa Sikukuu ya Pasaka mkuu wa mkoa kuwafungulia Wayahudi mfungwa mmoja waliyemtaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ilikuwa kawaida wakati wa sikukuu ya Pasaka mkuu wa mkoa kuwafungulia Wayahudi mfungwa mmoja waliyemtaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi ilikuwa ni desturi ya mtawala kumfungua mfungwa mmoja atakayechaguliwa na umati wa watu wakati wa sikukuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi ilikuwa ni desturi ya mtawala kumfungua mfungwa mmoja aliyechaguliwa na umati wa watu wakati wa sikukuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakati wa sikukuu, mtawala desturi yake huwafungulia mkutano mfungwa mmoja waliyemtaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ilikuwa kawaida wakati wa sikukuu ya Pasaka mkuu wa mkoa kuwafungulia Wayahudi mfungwa mmoja waliyemtaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Kwa desturi ya sikukuu mtawala nchi alikuwa amezoea kuwafungulia mfungwa mmoja, watu wengi waliyemtaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakati wa siku kuu, liwali desturi yake huwafungulia mkutano mfungwa mmoja waliyemtaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila sikukuu ya Pasaka, liwali alikuwa na desturi ya kuwafungulia watu mufungwa mumoja wanayemutaka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi wakati wa siku kuu liwali desturi yake huwafungulia makutano mfungwa mmoja waliyemtaka.