Matthew 27:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo kulikuwa na mfungwa aliyejulikana sana, jina lake Baraba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Palikuwa na mfungwa mmoja mwenye sifa mbaya, aliyeitwa Baraba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi palikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, aitwaye Baraba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati huo alikuwepo mtu gerezani aliyejulikana kuwa ni mtu mbaya. Mtu huyu aliitwa Baraba.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakati huo kulikuwa na mfungwa mmoja, jina lake Baraba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo kulikuwa na mfungwa aliyejulikana sana, jina lake Baraba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo alikuwapo mfungwa mmoja mwenye sifa mbaya, aliyeitwa Baraba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo alikuwepo mfungwa mmoja mwenye sifa mbaya, aliyeitwa Baraba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi palikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, aitwaye Baraba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo kulikuwa na mfungwa aliyejulikana sana, jina lake Baraba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile palikuwa na mfungwa aliyejulikana kwa ubaya, jina lake Baraba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi palikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, aitwaye Baraba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na katika siku zile kulikuwa mufungwa mumoja aliyejulikana sana, jina lake Baraba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi walikuwa na mfungwa mashuhuri siku zile, jina lake Barabba.