Matthew 27:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, watu walipokusanyika pamoja, Pilato akawauliza, “Mwataka nimfungue yupi kati ya wawili hawa, Baraba ama Yesu aitwaye Kristo?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo umati wa watu walipokusanyika, Pilato akawauliza hao watu, “Mnataka niwafungulie yupi: Baraba au Isa aitwaye Al-Masihi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie yupi? Yule Baraba, au Yesu aitwaye Kristo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kundi la watu lilipokusanyika, Pilato aliwaambia, “Nitamwacha huru mtu mmoja. Mnataka nani nimwache huru: Baraba au Yesu aitwaye Masihi?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo, watu walipokusanyika pamoja, Pilato akawauliza, “Mwataka nimfungue yupi kati ya wawili hawa, Baraba ama Yesu aitwae Kristo?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, watu walipokusanyika pamoja, Pilato akawauliza, “Mwataka nimfungue yupi kati ya wawili hawa, Baraba ama Yesu aitwaye Kristo?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo umati wa watu walipokusanyika, Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie nani, Baraba au Yesu yeye aitwaye Kristo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo umati wa watu walipokusanyika, Pilato akawauliza, “Mnataka niwafungulie nani, Baraba au Isa yeye aitwaye Al-Masihi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie yupi? Yule Baraba, au Yesu aitwaye Kristo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, watu walipokusanyika pamoja, Pilato akawauliza, “Mwataka nimfungue yupi kati ya wawili hawa, Baraba ama Yesu aitwaye Kristo?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokusanyika, Pilato akawauliza: Mwamtaka yupi, niwafungulie? Baraba au Yesu anayeitwa Kristo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie yupi? Yule Baraba, au Yesu aitwaye Kristo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watu walipokuwa wamekusanyika pamoja, Pilato akawauliza: “Munataka niwafungulie nani kati ya Baraba na Yesu anayeitwa Kristo?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie nani? Barabba, au Yesu aitwae Kristo?