Matthew 27:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa alitambua kwamba walikuwa wamemkabidhi Isa kwake kwa ajili ya wivu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa husuda.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pilato alijua kuwa viongozi wa makuhani na viongozi wazee wa Kiyahudi walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu walikuwa wanamwonea wivu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa alitambua Yesu alikuwa amekabidhiwa kwake kwa ajili ya wivu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa alitambua Isa alikuwa amekabidhiwa kwake kwa ajili ya wivu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa ajili ya husuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alisema hivyo maana alijua wazi kwamba walimleta kwake kwa sababu ya wivu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani aliwajua, ya kuwa wamemtoa kwa wivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa husuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alisema vile kwa maana alijua kwamba walimutoa Yesu kwake kwa sababu walimwonea wivu tu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa husuda.