Matthew 27:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya ubaya gani?” Wao wakazidi kupaza sauti: “Asulubiwe!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya kosa gani?” Lakini wao wakazidi kupiga kelele, wakisema, “Msulubishe!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema, Kwani? Ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakisema, Na asulibiwe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pilato akauliza, “Kwa nini mnataka nimwue Yesu? Amefanya kosa gani?” Lakini walipaza sauti wakisema, “Mwue msalabani!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya kosa gani?” Wao wakazidi kupaaza sauti: “Asulubiwe!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya ubaya gani?” Wao wakazidi kupaza sauti: “Asulubiwe!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya kosa gani?” Lakini wao wakazidi kupiga kelele, “Msulibishe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya kosa gani?” Lakini wao wakazidi kupiga kelele, wakisema, “Msulubishe!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Kwa nini? Ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakisema, Na asulubiwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pilato akauliza, “Kwa nini? Amefanya ubaya gani?” Wao wakazidi kupaza sauti: “Asulubiwe!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliposema: Ni kiovu gani, alichokifanya? wakakaza kupiga makelele wakisema: Na awambwe msalabani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Kwani? Ni ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakisema, Na asulibiwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pilato akawauliza tena: “Yeye alifanya ubaya gani?” Lakini wakazidi kupiga kelele wakisema: “Atundikwe juu ya musalaba!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Liwali akasema, Kwani? ubaya gani alioutenda? Wakazidi sana kupiga kelele, wakinena, Asulibiwe.