Matthew 27:31 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakampeleka ili wakamsulubishe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walipokwisha kumdhihaki, wakalivua lile vazi, wakamvika mavazi yake, wakamchukua kumsulibisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya kumaliza kumdhihaki, askari walimvua kivazi chekundu na kumvalisha nguo zake. Kisha wakamwongoza kwenda kuuawa msalabani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile vazi, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakampeleka ili kumsulibisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakampeleka ili wakamsulubishe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walipokwisha kumdhihaki, wakalivua lile vazi, wakamvika mavazi yake, wakamchukua kumsulubisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kumfyoza wakamvua kanzu ya kifalme, wakamvika tena nguo zake, wakampeleka, wamwambe msalabani.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walipokwisha kumdhihaki, wakalivua lile vazi, wakamvika mavazi yake, wakamchukua kumsulibisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walipokwisha kumuchekelea, wakamuvua ile kanzu na kumuvalisha nguo zake. Kisha wakaondoka naye kwenda kumutundika juu ya musalaba.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walipokwisha kumfanyia dhihaka, wakalivua lile vazi, wakamvika nguo zake, wakamchukua kumsulibi.