Matthew 27:33 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakafika mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na walipofika mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walifika mahali palipoitwa Golgotha. (Yaani “Eneo la Fuvu la Kichwa”.)
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, “Mahali pa Fuvu la kichwa,”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakafika mahali paitwapo Golgotha (ambayo maana yake ni, Mahali pa Fuvu la Kichwa),
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakafika mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na walipofika mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la Kichwa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipofika mahali panapoitwa Golgota, maana yake: Fuvu la Kichwa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na walipofika mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la kichwa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na walipofika kwenye pahali palipoitwa Golgota, maana yake, “Kilima cha Mufupa wa Kichwa,”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, Mahali pa kichwa,