Matthew 27:34 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hapo wakampa Isa divai iliyochanganywa na nyongo ili anywe; lakini alipoionja, akakataa kuinywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Askari walimpa Yesu divai iliyochanganywa na nyongo. Lakini alipoionja, alikataa kuinywa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wakampa mchanganyiko wa divai na nyongo. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wakampa Yesu divai iliyochanganywa na nyongo ili anywe, lakini alipoionja, akakataa kuinywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hapo wakampa Isa divai iliyochanganywa na nyongo ili anywe; lakini alipoionja, akakataa kuinywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakampa mvinyo iliyochanganyika na maji ya nyongo, anywe. Naye alipoyaonja hakutaka kunywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakamupa Yesu divai iliyochanganywa na kinywaji chenye uchungu sana. Lakini alipoionja, akakataa kuikunywa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wakampa kunywa siki iliyochanganyika na safura; nae alipoonja hakutaka kunywa.