Matthew 27:37 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: Huyu ni Isa Mfalme wa Wayahudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakaweka alama juu ya kichwa chake kuonesha mashtaka dhidi yake yaliyosema: HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lilioandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake: HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya kichwa chake, kwenye msalaba, wakaandika shtaka lake hivi: huyu ni isa, mfalme wa wayahudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya kichwa chake wakaweka shtaka dhidi yake lililoandikwa, “Huyu ni Yesu, Mfalme wa Wayahudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Juu ya kichwa chake wakabandika andiko la mashtaka yake ya kwamba: HUYU NI YESU, MFALME WA WAYUDA.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kichwa chake wakaweka tangazo hili kwa kuonyesha sababu ya kuhukumiwa kwake: “Huyu ndiye Yesu, Mufalme wa Wayuda.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakaweka juu ya kichwa chake mshitaka wake, ulioandikwa, HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.