Matthew 27:38 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanyanganyi wawili walisulubiwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanyang’anyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati uo huo wanyang'anyi wawili wakasulibiwa pamoja naye, mmoja mkono wake wa kuume, na mmoja mkono wake wa kushoto.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wahalifu wawili waligongomewa kwenye misalaba pamoja na Yesu, mmoja aliwekwa upande wa kulia na mwingine upande wa kushoto wa Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanyang'anyi wawili walisulubishwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanyang'anyi wawili walisulubiwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanyang'anyi wawili walisulibiwa pamoja naye, mmoja kuume kwake na mwingine kushoto kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanyang’anyi wawili walisulubiwa pamoja naye, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo huo wanyang'anyi wawili wakasulubiwa pamoja naye, mmoja katika mkono wake wa kulia, na mmoja katika mkono wake wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanyanganyi wawili walisulubiwa pia pamoja naye, mmoja upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pamoja naye wakawambwa misalabani wanyang, anyi wawili, mmoja kuumeni, mmoja kushotoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati uo huo wanyang’anyi wawili wakasulibiwa pamoja naye, mmoja mkono wake wa kuume, na mmoja mkono wake wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile wanyanganyi wawili walitundikwa juu ya misalaba pamoja na Yesu, mumoja kwa upande wake wa kuume na mwingine kwa upande wa kushoto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo wanyangʼanyi wawili wakasulibiwa pamoja nae, mmoja mkono wake wa kuume, na mmoja mkono wake wa kushoto.