Matthew 27:39 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana wakitikisa vichwa vyao na kusema,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisa-tikisa vichwa vyao, wakisema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu waliokuwa wakipita pale walitikisa vichwa vyao na kumtukana Yesu matusi
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana wakitikisa vichwa vyao na kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana wakitikisa vichwa vyao na kusema,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu waliokuwa wakipita njiani wakamvurumishia matukano huku wakitikisa vichwa vyao
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisatikisa vichwa vyao, wakisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana wakitikisa vichwa vyao na kusema,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waliopita wakamtukana, wakavitingisha vichwa vyao
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisa-tikisa vichwa vyao, wakisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu waliokuwa wakipita pale walimutukana, na kutikisatikisa vichwa vyao,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisatikisa vichwa vyao,