Matthew 27:44 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata wale wanyang’anyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia wale wanyang'anyi waliosulibiwa pamoja naye walimshutumu vile vile.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hata wale wahalifu wawili waliokuwa misalabani upande wa kulia na wa kushoto wa Yesu walimtukana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata wale wanyang'anyi waliosulibiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata wale wanyang’anyi waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana vivyo hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia wale wanyang'anyi waliosulubiwa pamoja naye walimshutumu vile vile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika na wale waliosulubiwa pamoja naye wakamtukana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vivyo hivyo wakamtukana hata wale wanyang'anyi waliowambwa misalabani pamoja naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia wale wanyang’anyi waliosulibiwa pamoja naye walimshutumu vile vile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata wale wanyanganyi waliotundikwa pamoja naye walimutukana vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Vilevile wa ayangʼanyi nao waliosulibiwa pamoja nae walimshutumu.