Matthew 27:47 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadhi yao waliohudhuria, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hili wakasema, “Anamwita Eliya.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Eliya.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadhi ya wale watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia haya, wakasema “Anamwita Eliya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama pale waliposikia hayo, wakasema, “Anamwita Ilya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baadhi yao waliokuweko, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wale waliosimama pale waliposikia hivyo wakasema, “Anamwita Elia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine wao waliosimama hapo walipoyasikia wakasema: Huyu anamwita Elia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadhi yao waliohudhuria, waliposikia, walisema, Huyu anamwita Eliya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na watu wamoja waliosimama pale walipomusikia wakasema: “Anamwita Elia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Baadhi yao waliosimama huko, waliposikia, wakanena, Huyu anamwita Elia.