Matthew 27:48 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mmoja wao akakimbia, akachukua sifongo, akaichovya katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Isa ili anywe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu mmoja alikimbia haraka akaenda kuchukua sponji, akaijaza siki, akaifunga kwenye fimbo na akanyoosha fimbo ili kumpa Yesu sponji ili anywe siki.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mmoja wao akakimbia, akachukua sifongo, akaichovya katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mmoja wao akakimbia, akachukua sifongo, akaichovya katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi akampa Yesu ili anywe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ghafula mmoja wao akaenda mbio na kuleta sifongo, akaichovya kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Isa ili anywe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mmoja wao akakimbia, akachukua sifongo, akaichovya katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Papo hapo mmoja wao akapiga mbio, akachukua mwani, akauchovya sikini na kuutia katika utete, akamnywesha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mara moja, mumoja wao akaenda mbio akatwaa kikausho, akakichovya ndani ya divai yenye kuchacha. Akakifungia juu ya tete, akakipandishia Yesu, kusudi apate kunywa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Marra mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya unyasi, akamnywesha.