Matthew 27:49 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumwokoa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wengine walisema, “Usimjali. Tunataka tuone ikiwa Eliya atakuja kumsaidia.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wengine wakasema, “Acha tuone kama Eliya anakuja kumwokoa.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wengine wakasema, “Mwacheni na tuone kama Eliya atakuja kumwokoa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumwokoa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine wakasema: Acha, tuone, kama Elia anakuja kumwokoa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wengine wakasema: “Mwache, tuone kama Elia atakuja kumwokoa!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wale wengine walinena, Acha; na tuone kwamba Elia anakuja kumponya.