Matthew 27:52 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
makaburi yakafunguka na watu wengi wa Mungu waliokufa wakafufuliwa;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Makaburi yalifunguka na watu wengi wa Mungu waliokufa walifufuka kutoka kwa wafu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
makaburi yakafunguka na watu wengi wa Mungu waliokufa wakafufuliwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
makaburi yakafunguka na watu wengi wa Mungu waliokufa wakafufuliwa;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makaburi yakafunguka na miili ya watakatifu waliokuwa wamekufa ikafufuliwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
makaburi yakafunguka na watu wengi wa Mungu waliokufa wakafufuliwa;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
makaburi yakafunuka, ikafufuka miili mingi ya watu watakatifu waliolala,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
makaburi yakafunuka; ikainuka miili mingi ya watakatifu waliolala;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
makaburi yakafunguka, na watakatifu wengi waliokufa zamani wakafufuliwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
makaburi yakafunuka; ikafufuka miili mingi ya watakatifu waliolala;