Matthew 27:56 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miongoni mwao walikuwa Maria Magdalene, Maria mama yao Yakobo na Yosefu, pamoja na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miongoni mwao walikuwemo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Miongoni mwao alikuwepo Mariamu Magdalena, Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu na pia mama yao Yakobo na Yohana alikuwepo pale.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Miongoni mwao walikuwa Maria Magdalene, Maria mama yao Yakobo na Yosefu, pamoja na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miongoni mwao walikuwa Maria Magdalene, Maria mama yao Yakobo na Yosefu, pamoja na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miongoni mwao walikuwapo Maria Magdalene, Maria mama yake Yakobo na Yosefu na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miongoni mwao walikuwa Maria Magdalene, Maria mama yao Yakobo na Yosefu, pamoja na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kati yao walikuwapo Maria Magadalene na Maria, mama yao Yakobo na Yosefu, tena mama yao wana wa Zebedeo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kati yao kulikuwa Maria wa Magdala, Maria mama ya Yakobo na Yosefu, pamoja na mama ya wana wa Zebedayo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yose, na mama yao wana wa Zebedayo.