Matthew 27:58 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akamwendea Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu. Basi, Pilato akaamuru apewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwendea Pilato ili kumwomba mwili wa Isa. Pilato akaamuru apewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mtu huyu alimwendea Pilato akauomba mwili wa Yesu. Ndipo Pilato akaamuru apewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alikwenda kwa Pilato na akamwomba mwili wa Yesu. Pilato akawaamuru askari wampe Yusufu wa Arimathaya mwili wa Yesu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akamwendea Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu. Basi, Pilato akaamuru apewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akamwendea Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu. Basi, Pilato akaamuru apewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwendea Pilato, kumwomba mwili wa Yesu. Pilato akaamuru apewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwendea Pilato ili kumwomba mwili wa Isa. Pilato akaamuru apewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mtu huyu alimwendea Pilato akaomba apewe mwili wa Yesu. Ndipo Pilato akaamuru apewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akamwendea Pilato, akaomba apewe mwili wa Yesu. Basi, Pilato akaamuru apewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huyo akaenda kwa Pilato, akataka kupewa mwili wa Yesu; ndipo, Pilato alipoagiza, apewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mtu huyu alimwendea Pilato akauomba mwili wa Yesu. Ndipo Pilato akaamuru apewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye akaenda kwa liwali Pilato kwa kumwomba maiti ya Yesu. Basi Pilato akaamuru aipewe.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
mtu huyu alimwendea Pilato, akauomba mwili wa Yesu. Pilato akaamuru apewe mwili wake.