Matthew 27:59 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosefu akauchukua ule mwili, akauzungushia sanda safi ya kitani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yusufu akauchukua mwili wa Isa, akaufunga kwa kitambaa cha kitani safi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yusufu akautwaa mwili, akauzonga-zonga katika sanda ya kitani safi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Aliuchukua mwili na kuuvingirisha katika kitambaa mororo cha kitani safi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yosefu akauchukua ule mwili akauzungushia sanda safi ya kitani,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosefu akauchukua ule mwili, akauzungushia sanda safi ya kitani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yosefu akauchukua mwili wa Yesu, akauviringishia nguo ya kitani safi nyeupe
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yusufu akauchukua mwili wa Isa, akaufunga katika kitambaa cha kitani safi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yusufu akautwaa mwili, akauzongazonga katika sanda ya kitani safi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosefu akauchukua ule mwili, akauzungushia sanda safi ya kitani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yosefu akauchukua ule mwili, akaufunga kwa sanda nyeupe,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yusufu akautwaa mwili, akauzonga-zonga katika sanda ya kitani safi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yosefu akatwaa maiti ile, akaifungafunga ndani ya vitambaa safi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yusuf akautwaa mwili, akauzinga katika kitambaa cha kitani safi,