Matthew 27:62 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo walimwendea Pilato,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalizi ya Sabato, viongozi wa makuhani na Mafarisayo wakamwendea Pilato
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku ile ilikuwa Siku ya Maandalizi. Siku iliyofuata, viongozi wa makuhani na Mafarisayo walimwendea Pilato.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo walimwendea Pilato,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo walimwendea Pilato,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalizi ya Sabato, viongozi wa makuhani na Mafarisayo wakamwendea Pilato
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalizi ya Sabato, viongozi wa makuhani na Mafarisayo wakamwendea Pilato
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake, yaani siku iliyofuata ile ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo walimwendea Pilato,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulipokucha, ni siku inayofuata maandalio ya kondoo ya Pasaka, watambikaji wakuu na Mafariseo wakamkusanyikia Pilato,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake, maana yake siku iliyofuata ile ya matayarisho ya siku ya Sabato, wakubwa wa makuhani na Wafarisayo wakamwendea Pilato,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, makuhani wakuu na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,