Matthew 27:7 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo basi, baada ya kushauriana, waliamua kuzitumia kununulia shamba la mfinyanzi, liwe mahali pa kuzikia wageni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua konde la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo wakaamua kutumia fedha hiyo kwa kununulia shamba linaloitwa Shamba la Mfinyanzi kwa ajili ya kuwazikia wageni wanapokufa wakiwa ziarani katika mji wa Yerusalemu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo baada ya kushauriana, waliamua kuzitumia kununulia shamba la mfinyanzi, liwe mahali pa kuzikia wageni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo baada ya kushauriana, waliamua kuzitumia kununulia shamba la mfinyanzi, liwe mahali pa kuzikia wageni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakashauriana, wakazitumia kununua shamba la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakazipigia shauri, wakazinunua shamba la mfinyanzi, liwe la kuzikia wageni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua konde la mfinyanzi liwe mahali pa kuzika wageni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi walipokwisha kukata shauri, wakatumia zile feza kwa kununua shamba la Mufinyanzi, kusudi likuwe shamba la kuzikia wageni.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakafanya shauri, wakavitumia kwa kununua konde la mfinyangi liwe mahali pa kuzikia wageni.