Matthew 27:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndio maana mpaka leo shamba hilo linaitwa Shamba la Damu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii ndiyo sababu lile shamba likaitwa Shamba la Damu hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo konde lile huitwa konde la damu hata leo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndiyo sababu eneo hilo bado linaitwa Shamba la Damu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndiyo maana mpaka leo shamba hilo linaitwa Shamba la Damu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndio maana mpaka leo shamba hilo linaitwa Shamba la Damu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii ndiyo sababu lile shamba likaitwa Shamba la Damu hadi leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii ndiyo sababu lile shamba likaitwa Shamba la Damu hadi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo shamba lile huitwa shamba la damu hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndio maana mpaka leo shamba hilo linaitwa Shamba la Damu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo shamba lile linaitwa hata leo Shamba la Damu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo konde lile huitwa konde la damu hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kutokana na mambo hayo yote shamba lile linaitwa “Shamba la Damu” hata leo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa hiyo konde lile linakwitwa konde la damu, hatta leo.