Matthew 27:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo maneno ya nabii Yeremia yakatimia: “Walichukua vipande thelathini vya fedha, thamani ya yule ambaye watu wa Israeli walimtia bei,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo likatimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, kwamba, “Walichukua vile vipande thelathini vya fedha, thamani aliyowekewa na watu wa Israeli,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo likatimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema, Wakavitwaa vipande thelathini vya fedha, kima chake aliyetiwa kima, ambaye baadhi ya Waisraeli walimtia kima;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hili lilitimiza maneno ya nabii Yeremia aliposema: “Walichukua sarafu thelathini za fedha. Hicho ni kiasi ambacho Waisraeli waliamua kulipa kwa ajili ya uhai wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hivyo maneno ya nabii Yeremia yakatimia: “Walizichukua sarafu thelathini za fedha, thamani ya yule ambaye watu wa Israeli walipanga bei,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo maneno ya nabii Yeremia yakatimia: “Walichukua vipande thelathini vya fedha, thamani ya yule ambaye watu wa Israeli walimtia bei,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo likatimia lile lililonenwa na nabii Yeremia kwamba, “Walichukua vile vipande thelathini vya fedha, thamani aliyopangiwa na watu wa Israeli,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo likatimia lile lililonenwa na nabii Yeremia, kwamba, “Walichukua vile vipande thelathini vya fedha, thamani aliyopangiwa na watu wa Israeli,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo likatimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema, Wakavitwaa vipande thelathini vya fedha, kima chake aliyetiwa kima, ambaye baadhi ya Waisraeli walimtia kima;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo maneno ya nabii Yeremia yakatimia: “Walichukua vipande thelathini vya fedha, thamani ya yule ambaye watu wa Israeli walimtia bei,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, yalipotimia, mfumbuaji Yeremia aliyoyasema: Wamezichukua fedha 30, ni upato wa mtu aliyeuzwa, waliomnunua kwa wana wa Isiraeli;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo likatimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema, Wakavitwaa vipande thelathini vya fedha, kima chake aliyetiwa kima, ambaye baadhi ya Waisraeli walimtia kima;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu yakatimia maneno yaliyosemwa na nabii Yeremia: “Walitwaa vikoroti makumi tatu vya feza kufuatana na bei Waisraeli waliyoipanga juu yake,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo likatimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema, Wakavitwaa vipande thelathini vya fedha, kima chake aliyetiwa kima, ambae watu miongoni mwa wana wa Israeli walimtia kima;